Habari za Punde

WAGOMBEA WAKITAMBULISHWA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akiwatambulisha wagombea wa Chama Cha Mapinduzi Baada ya kuchagulia na Mkutano Mkuu wa CCM DOdoma,kushoto Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein na Kulia Mgombea Mweza wa Rais Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal. wakitambulishwa katika mkutano ulioandaliwa kuwatambulisha kwa Wananchi katika Viwanja vya Kibanda Maiti.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.