
MAJALIWA: Mapinduzi Makubwa Yamefanyika Katika Sekta ya Michezo *Asema
utoaji wa tuzo unalenga kuendeleza na kuimarisha sekta ya michezo nchini
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Paramagamba Kabudi kwa naiba ya
Mheshimiwa Rais ...
22 minutes ago
hali yko vp salama ni hivi blog nzuri but kuna kitu hujarekebisha kidogo ok
ReplyDeleteSisi hatujambo. Sijui Mkuu ni kitu gani unakusudia turekebishe?
ReplyDeleteTunakusikiliza ili tuweze kuiboresha kwani maoni yenu ndiyo muhimu katika na yanatupa msukumo wa kuendeleza blog.
Ahsante