Habari za Punde

AFP NAO WANADI SERA

Mgombea Urais kupitia Chama cha AFP Said Soud akinadi sera za Chama chake katika kanpeni ya kinyanganyiro cha kuwania Urais wa Zanzibar, katika moja ya kampeni zake katika kiwanja cha Kombawapya.
Mgombea Ubunge wa chama cha AFP Jimbo la Rahaleo akitambulishwa na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, katika viwanja vya Kombawapya Rahaleo.

Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia cha cha AFP Said Soud akitowa sera ya Chama chake katika Kiwanja cha Komba wapya Rahaleo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.