Habari za Punde

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AWASILI OFISINI KWAKE KWA KUANZA KAZI

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa  Ofisini kwake baada ya kuwasili kwa kuanza kazi.  
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitembezwa jengo la Ofisi yake na Katibu Mkuu Omar Shajak alipofika Ofisini kwa kuanza kiazi katikati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Bihindi Hamad. 
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi yake alipowasili Ofisini kwa kuanza kazi rasmi.
 
 MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akizungumza na mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la BBC aliyekuweko Zanzibar Ali Saleh baada ya kuwasili Ofisini kwake kwa kuanza kazi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.