Habari za Punde

USAFI SOKONI MWANAKWEREKWE.

WAFANYAKAZI wa Soko Kuu la Mwanakwerekwe wakisafisha mitaro ya maji machafu ili kuweka miundombinu hiyo katika hali ya salama wakati huu wa mvua za hapa na pale zikinyesha katika Visiwa vya Zanzibar kusiwe na mrundikano wa maji machafu sokoni hapo na kuhatarisha afya za Wafanyabiashara na Wateja wanaofika sokoni. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.