Habari za Punde

WANAWAKE WAKIWEZESHWA WANAWEZA NDIO INAVYOONEKANA KWA KINAMAMA HAWA.

AKINAMAMA Wajasiriamali wakifanya biashara katika Soko la Mwanakwerekwe wakiwa na biashara za Viazi Vitamu wakisubiri wateja wa bidhaa hiyo ili kujikomboa na Umasikini na kujiongezea kipato. Fungu moja la Viazi wanauza shillingi 1000/- na 2000/-  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.