WANAFUNZI wa Skuli ya Muembe makumbi wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanya mitihani yao ya Darasa la Saba.
WANAFUNZI wa Darasa la Saba wa Skuli ya Rahaleo wakiwa nje ya jengo la skuli wakitafakari jinsi ya walivyojibu mtihani wao leo ikiwa ni siku ya pili wakiendelea na mitihani ya kufuzu kidatu chwa Kwanza na Michipuo.
No comments:
Post a Comment