Habari za Punde

MATOKEO YA JUMLA KURA YA URAIS KUTOLEWA

MWENYEKITI akitowa Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Zanzibar.
MGOMBEA Urais Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein katikati akiteta na Mzee wa CCM Hassan Nassor Moyo wakiwa katika ukumbi wa kutolea matokeo.akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein.
VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia matokea ya Uchaguzi.


MGOMBEA Urais kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi HAJI Ambar, katikati, akifuatilia kutangazwa Rais Ukumbi wa Salama MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha CUF Seif Sharif Hamadi


Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar wakisikiliza matokeo ya kura ya Urais wa Zanzibar yakitolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

VIONGOZI wa Chama cha Jahazi Asilia wakiwa katika Chumbna cha kutolea Matokeo Ukumbi wa Salama Bwawani.
WAANDISHI wa habari wakichukua matokeo ya jumla ya kura ya Urais

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.