Habari za Punde

MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI KUENDELEA KUTOA MATOKEO


WAFANYAKAZI wa TVZ wakiseti mitambo yao ili kukamilisha kurusha live matokeo ya kura ya Urais wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani kuweza kurusha matangazo hayo kwa Wananchi.

WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbali mbali, akiwemo fundi mitambo wa Sauti ya Tanzania Zanzibar Abeid Mfaume akiwa kazini kuhakikisha Wananchi wanapata sauti ilio safi kupata matokeo ya Uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.