WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakisoma duwa baada ya kuusalia mwili wa marehemu Bakari Abeid ulisaliwa katika Msikiti Lutta Kiembesamaki
BAADHI ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria mazishi ya Msanii Mkongwe wa Zanzibar, Bakari Abeid Bakari wakishuhudia maziko yake katika makaburi ya Mwanakwerekwe. |
WANANCHI waliohudhuria mazishi ya marehemu Bakari Abeid katika makaburi ya Mwanakwerekwe.
MTOTO wa Marehemu Bakari Abeid Bakari, Abeid Bakari akisoma duwa na ndugu na jamaa baada ya kumaliza mazishi yaliofanyika katika makaburi ya Mwakwerekwe..
MSANII Hassan Suleiman "Chita" akizungumza na mwandishi wa Redio Zanzibar, Suleiman Juma Kimea baada ya kumalizika maziko ya Marehemu Bakari Abeid Msanii mkongwe Zanzibar. |
MSANII Mkongwe wa utunzi wa Mashairi Zanzibar Haji Gora akizungumza na mwandishi wa Redio Zanzibar, Suleiman Juma Kimea baada ya kumalizika maziko ya Marehemu Bakari Abeid Msanii mkongwe Zanzibar.
No comments:
Post a Comment