Habari za Punde

ILIVYOKUWA ZIARA YA DK PHILIPS NA MKEWE SARAH TANZANIA

 Ukumbi wa Nkrumah ulivyofurika kumsikiliza Dr Bilal Philips ambapo washiriki wa kike na kiume kutoka dini zote walialikwa.
 Akinamama wakiwa katika sehemu waliyotengewa wakiendelea kusikiliza Muhadhara
 Tarehe 24 -12 -2010 alikuwepo Chuo Kishiriki cha Elimu Chukwani Zanzibar na kutoa mada “Common Misunderstandings about Islam and Muslims”
 Tarehe 20-12-2010 alikuwepo Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro na alitoa Mada “Role of Muslim Universities in a Competitive World”
Huu ndio Muhaadhara wa kwanza uliofanyika 18-12-2010  Chuo Kikuu Dar kwenye Ukumbi wa Nkrumah na Mada ilikuwa  "Common Misunderstandings about Islam and Muslims”

Kwa taarifa kamili ingia katika kiungo hapa chini

http://islamiconlineuniversity.com/news-detail.php?newsid=12

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.