INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJI'UUN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Jakaya Mrisho Kikwete,akitia udungo katika kaburi la Marehemu Mhe.Salim Juma Othman,aliyekuwa Waziri wa Afya awamu ya 6, alizikwa jana Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Mhe.Salim Juma Othman,aliyekuwa Waziri wa Afya awamu ya 6, alizikwa Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Makamo wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Seif Sharif Hamad, akitia udongo katika kaburi la Marehemu Mhe.Salim Juma Othman, aliyekuwa Waziri wa Afya awamu ya 6, alizikwa Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Makamo wa Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Idd, akitia udongo katika kaburi la Marehemu Mhe.Salim Juma Othman, aliyekuwa Waziri wa Afya awamu ya 6 alizikwa jana Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mamia ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakimuombea dua mwili wa marehemu salim Juma Othman,wakati wa kusalia maiti yake huko msikiti wa Mazrui Mombasa Mjini Zanzibar,marehemu alikuwa Waziri wa Afya wa awamu ya 6,amezikwa Fumba Mkoa wa Mjini Magharibu Unguja jana.
Viongozi Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili Kulia)wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu kumsalia Marehemu Salim Juma Othman,aliyekuwa Waziri wa Afya Awamu ya 6,katika msikiti wa Mazrui Mombasa Mjini Zanzibar,aliyefariki jana na kuzikwa Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mamia ya wananchi na waumini wa dini ya Kiislamu wakishiriki kuubeba mwili wa marehemu Salim Juma Othman,aliyekuwa Waziri wa Afya awamu ya 6,aliyefariki jana na kuzikwa Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment