Habari za Punde

DK SHEIN NA BALOZI MDOGO WA INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza  na Balozi Mdogo wa India anayeishi  Zanzibar, Dalip Singh Singal, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mdogo wa India anayeishi hapa Zanzibar,Dalip Singh Singal, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.