Habari za Punde

KITUO KIKUU CHA DALA DALA DARAJANI CHABORESHWA

MAFUNDI wa kampuni ya Coast Coulor Center Ltd  wakiweka alama  maalum katika kituo cha Daladala Darajani ili kutowa nafasi kwa  maegesho ya  gari za abiria zinazotumia kituo hicho kupunguza msongamano kituoni hapo na kuwa na hadhi ya kituo cha kisasa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.