Habari za Punde

KUNUNUA AU KUSAFISHA MACHO TU?

MWANANCHI  akisoma baadhi ya Vicha vya habari vya Magazeti mbalimbali  katika moja ya kituo cha kuuzia magazeti kisiwandui, ikiwa ni moja ya njia za kupata habari za nje na kununua gazeti lenye habari nzuri zinazomvutia. Gazeti la Zanzibar Leo likipekuliwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.