Habari za Punde

MAMBO YA MABOFULO HAYOO...

MDAU mambo ya msosi wa mikate ya kizenj maarufu kwa jina la bofulo wazee wakijipatia kwa mlo wa Asubuhi, mkate mmoja huzwa shillingi 300/= katika maeneo ya darajani kama mwanablog alivyoinasa picha hii leo mchana.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.