Habari za Punde

UJENZI UKUTA WA FORODHANI.

MAFUNDI wa Shirika la Bandari Zanzibar wakiujenga Ukuta wa Forodhani unaozuwia mawimbi ya bahari kupiga katika barabara hiyo, ukuta huo umebomolewa na  Mawimbi ya bahari yaliyosababishwa na mzaruba uliovuma hivi karibuni na kuleta ajali hiyo.ya kuharibu ukuta huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.