Habari za Punde

UMEONA TOFAUTI GANI YA KIPROTOKOLI

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein alipomuapisha Haroub Shaibu Mussa kuwa Katibu wa Rais
RAIS wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete alipomuapisha Fanual Mbonde kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais

6 comments:

  1. Kuna mh mmoja ameketi kwenye kitit wakati wenzie wote wamesimama.

    ReplyDelete
  2. Nadhani kiprotokali hao kina Abdulhamid na huyo Salmin Amour (mwanafunzi wangu na mtoto wa Mwalimu Amour) hawakupaswa kukaa ubavuni kwa raisi. Hicho kiapo huyo jamaa hali mbele yao lakini mbele ya Raisi. Kwahiyo hiyo ya Kikwete ndio iko sawa. Jamaa anakula kiapo mbele ya Raisi na sio hao wasaidizi wake

    ReplyDelete
  3. Swadakta. Nadhani ujumbe utafika kama ni kughafilika na kama ni utaratibu basi uangaliwe tena.

    Shukran wadau kwa michango yenu.

    ReplyDelete
  4. Good observation.

    ReplyDelete
  5. duh 2ko nyuma kiasi hiki hatari kweli kweli rais hajijui hata majukumu yake sasa wakila rushwa wako sawa kwa sababu hawajala kiapo cha utii kwa dr shein maajabu kweli kweli

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.