HIVI ndivyo ilivyo kwa Kinamama hawa wakiwa bizzi na shughuli zao za kila siku za kuchora na kufuma vitambaa vya aina mbalimbali dukani hapo, ikiwa ni kivutio cha Watalii wanaotembelea Mji Mkongwe wa Zanzibar, hutembelea duka hili la SASIK lilioko Gizenga Forodhani.
Hichi kiingilishi wewe acha tu - ujumbe umefika
MMOJA wa Mwanamama Aida Abdalla akiwa kazini akichora moja ya dizaini ya mauwa katika kitambaa cha Batiki, akiwa katika duka lao Mtaa wa Gizenga Unguja.
No comments:
Post a Comment