MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akimsalimia Mtoto Yussuf Ali wakati alipofika Kijiji hapo kukabidhi Boti kwa Kikundi cha Ushirika cha Tamasamu cha Mangapwni, makabidhiano hayo yamefanyika katika pwani hiyo
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi Boti Mwenyekiti wa Ushirika wa Tabasamu Ali Juma Nuru, kwa ajili ya ushirika wao kufanyika shughuli za Uvuvi, sherehe hizo za makabidhiano zimefanyaka Pwani ya Mangapwani
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akitowa nasaha zake kwa Wanakikundi cha Ushirika cha Tabasamu cha Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B, baada ya kukabidhi Boti ya kuvulia Samaki kwa kikundi hicho kijijini hapo kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi
MWENYEKITI wa Kampeni ya Mama Shein, Mvita Kibendera wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita akiwataka Wanawake washikamane ili kukiletea Chama Ushindi katika chaguzi zijazo wakati wa Ziara ya Mke wa Rais wa Zanzibar katika kijiji cha Kiombamvua
No comments:
Post a Comment