WAPANDA Baskeli wakiwa katika mashindano ya kitaifa ya resi za Baskeli zikianzia Darajani uwanja wa Daiz na kumalizikia Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
WAPANDA Baskeli wakishiriki katika mchezo huo wa kitaifa wa resi za baskeli wakipita katika mitaa ya Muembeladu kuelekea mwisho wa resi hizo huko Makunduchi.
No comments:
Post a Comment