Habari za Punde

ZIARA YA RAIS WILAYA YA KATI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wafanyakazi wa shamba la kilimo cha mimea huko Kidimni wilaya ya kati la Mwekezaji Moh'd Shaksi, alipokuwa katika ziara ya kuona shuhuli za kilimo katika  wilaya ya kati Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitembelea shamba la mpunga wa majaribio aina ya NERICA,huko kituo cha kilimo Bambi jana,akifuatana na Waziri wa kilimo na Mali Asili Mansour Yussuf Himidi, na Katibu wake Othman Afani
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka wa Mtaalam wa Mbegu Yussuf Khamis,baada ya kutembelea Mpunga uliyooteshwa kwa majaribio aina na NERICA,katika shmba la kituo cha kilimo Bambi,alipokuwa katika ziara ya kutembelea kituo hicho
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia ramani na kupata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Wizara ya Elimu Riziki Jecha Salim,alipotembela hatua za ujenzi wa Skuli Mpya ya Sekondari ya Wilaya huko Uzini Wilaya ya Kati Unguja jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein  ,akiuliza jambo kwa mtaalamu wa kilimo kutoka nchini Misri,wakati alipofanya ziara ya kutembelea Shamba la jeshi la kujenga uchumi (JKU) Bambi na kupata taarifa za kilimo cha Mahindi,pamoja na mboga mboga kinacholimwa na jeshi hilo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia namna mashine zinavyoweza kusadifu namna ya kutoa mbegu zilizo bora na zenye matatizo wkati alipotembelea kiwanda cha maandalizi ya mbegu za aina mbali mbali katika kituo cha kilimo Bambi jana,akiwa katika ziara ya kutembelea wilaya ya Kati Unguja kuona maendeleo ya killimo wilayani humo

Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.