Habari za Punde

UJUMBE MARIDHAWA - NA HILI NALO NI NENO

NILITUMIWA KWA NJIA YA TEXT MESSAGE

Dhambi ya ufisadi si kwenye pesa tu bali hata kun'gan'gania kumiliki mume peke yako wakati kuna wenzio maelfu wanahitaji kustiriwa na mwanamme huyo huyo. Lakini wewe unabania na unamficha. Kufanya hivyo si vizuri kwani huo nao pia ni ufisadi.

Waonee huruma wanawake wenzio na wao wapate kustirika hasa katika kipindi hiki kigumu kimaisha na kimaadili. Mpe rukhsa mumeo aongeze mke wa pili na kama akitaka hata watatu.

Tuma kwa wanawake ambao waume zao wana mke mmoja ili wawashawishi waume zao waongeze STARA!.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.