Habari za Punde

ZIARA YA DK SHEIN MKOA WA KUSINI KUIMARISHA CHAMA

 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akipokea ripoti ya chama cha Mapinduzi kutoka kw Katibu wa Wilaya ya Kusini Hinaya Khamis,wakati wa Mkutano wa  viongozi wa CCM wilaya hiyo jana katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Makunduchi,Mkoa wa Kusini,akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mikoa mitano ya Zanzibar
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa Kusini Haji Ussi Gavu akizungumza na kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Vuai Ali Vuai,ili nae akmkaribishe Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Kusini  Unguja jana katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Makunduchi,Mkoa wa Kusini,akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mikoa mitano ya Zanzibar.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Vuai Ali Vuai,akimkaribisha Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Kusini  Unguja jana katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Makunduchi,Mkoa wa Kusini,akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mikoa mitano ya Zanzibar.

 Viongozi wa CCM Ngazi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,alipozungumza na viongozi hao katika mikutano ya ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi,katika  ukumbi wa Skuli ya Sekondari Makunduchi,Mkoa wa Kusini,jana.


Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Kusini  Unguja jana katika ukumbi wa Skui ya Sekondari Makunduchi,Mkoa wa Kusini,akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chma cha Mapinduzi katika Mikoa mitano ya Zanzibar.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.