Habari za Punde

DK SHEIN AKUTANA NA MABALOZI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akiagana na Balozi wa Uganda nchini Tanzania  Ibrahim Mukiibi, baada ya mazungumzo yao Ikulu Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania  Ibrahim Mukiibi,aliyefika  Ikulu Mjini Zanzibar leo kuonana na Rais.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na  Balozi mdogo wa Misri  nchini Tanzania anayeishi Zanzibar,Walid Mohamed Ismail,Ikulu Mjini Zanzibar leo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akiagana na Balozi leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na Balozi Sudan  nchini Tanzania  AbdelBagi Hamdan Kabeir,alipofika IKulu Mjini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akisalimiana na Balozi Sudan  nchini Tanzania  AbdelBagi Hamdan Kabeir,alipofika IKulu Mjini Zanzibar leo

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.