Habari za Punde

WAKULIMA WA MPUNGA PEMBA WAITIKIA WIT0 WA MAPINDUZI YA KILIMO CHA MPUNGA.

MPUNGA wa Bonge la Kanambe Kisiwani Pemba ukiwa  baada ya wakulima wa Kilimo hicho kuitika wito wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Mapinduzi ya Kilimo Zanzibar.   
WADAU wa Kilimo kisiwani Pemba wakiimarisha kilimo cha mpunga katika mabonde yote ya kilimo hicho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.