Habari za Punde

GRAND MALT YAMWAGA VIFAA VYA MILIONI KUMI KWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KUFANIKISHA MICHEZO.

 
 WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii, na Michezo Abdilla Jihad Hassan na Mwakilishi wa Magogoni, akikabidhiwa vifaa vya michezo na Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt  Consolata Adam ikiwa ni kwa timu ya Baraza la Wawakilishi. makabidhino hayo yamefanyika katika ukumbi wa Baraza Chukwani.  
 Timu ya Wawakilishi kwa vifaa vya michezo kushiriki tamasha la michezo Arusha. na timu ya Wazee ya Arusha. 
 GRAND Malt Waaaaaa.... ndivyo uinavyoonekana wakisema waheshimiwa hawa. baada ya kumalizika makabidhiano ya vifaa vya michezo..
IKO kazi na wapizani wetu katika Tamasha la Michezo Arusha.
 MENEJA wa Kinywaji cha Grand Malt Consolata Adam akitowa maelezo ya Kampuni yake kuhusu vifaa hivyo vya michezo kwa timu ya Wawakilishi baada ya kukabidhi vifaa hivyo kwa uongozi wa timu hiyo.
 WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdilla Jihad Hassan akitowa shukrani kwa Uongozi wa Kampuni ya Kinywaji cha Grand Malt kwa msaada wao wa Vifaa vya michezo kwa timu yao.    
 KATIBU wa timu ya Baraza la Wawakilishi Haji Omar Kheir akitowa shukrani akiwa na seti ya kiatu cha mpira kwa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu yake. 
 MENEJA wa timu ya Baraza la Wawakilishi Nassor Salim akitowa maelezo wakati wa sherehe za kjukabidhi vifaa vya michezo kwa timu hiyo inayojianda na Tamasha la michezo linalotarajiwa kufanyika Mkoani Arusha, kulia Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt Consolata Adam. 

WAHESHIMIWA wakifuatilia makabidhiano ya Vifaa vya Michezo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.