Habari za Punde

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI

 WAZIRI wa Wizara ya Kazi  Uwezeshaji Wananchi  Kiuchumi na Ushirika  akipongezwa na Wafanyakazi wa Wizara hiyo kwa kupita kwa Bajeti ya Wizara yake.
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa  Rais Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na Salim Abdalla Hamad (Mtambwe) wakiwa nje ya ukumbi wa baraza.
 WAZIRI wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Ali Juma Shamuhuna akimsikiliza kada wa Chama cha Mapinduzi Mohammed Moyo, 
 WAJUMBE wa baraza wakiwa katika eneo la jengo la baraza kulia Mjumbe wa Kuteuliwa Ali Mzee Ali na Mwakilshi wa Tumbatu Omar Haji Kheri.
 MWAKILISHI wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akisisitiza jambo na wajumbe wazake wakiwa nje ya ukumbi wa Mkutano baada ya kikao cha asubuhi kumalizika.
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akimsikiliza Mwakilishi wa Magomeni Salimin Awadh wakibadilishana mawazo.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Mwandishi Mkongwe Salim Said akisisitiza jambo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.