WAFANYABIASHARA eneo la jua kali likiwa katika harakati za biashara ikikaribia wakati wa mfungo wa Ramadhaan biashara ya nguo huwa juu
ENEO hili limetengwa kwa ajili ya kuweka bustani mbele ya skuli ya darajani kama linavyoonekana bango la michoro ya bustani hiyo.
NCHI HATA SHOPPING MALL HAINA SI AIBU HIYO JAMANI...NCHI ZOTE ZA AFRICA SASA ZINA MIJI YA KUVUTIA NA SHOPPING MALL ISIPOKUWA ZANZIBAR NA SOMALI TU....OMBENI MSAADA BASI MUJENGEWE KAMA SMZ HAMUWEZI KUJENGA.
ReplyDeletehttp://youtu.be/826tpNNrCF0