Habari za Punde

ZIARA YA MAALIM SEIF VITONGOJI UWANDANI

 .Naibu Katibu Mkuuu katika Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Dk. Islam Seif akitoa ufafanuzi kwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim seif juu ya utekelezaji w ampango wa Serikali wakufukia mashimo yaliotokana na kazi za uchimbaji na upasuaji wamatofali Vitongoji Uwandani
 Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wananchi na wachimbaji wa matofali huko Vitongoji Uwandani
Kiongozi wa wachimbaji na wapasuaji wa matofali Kombo Ali "Mbunge' akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, juu ya utekelezaji wampango wa kufukia mashimo yaliotokana na kazi za uchimbaji wa matofali huko Vitongoji Uwandani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.