Habari za Punde

DK SHEIN AFUTARISHA MKANYAGENI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wazee,pamoja na wananchi wa kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,baada ya kufutari pamoja na wananchi hao katika futari maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mtoto Mussa Makame Badru wa kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,baada ya kufutari pamoja na wazee hao katika futari maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika futari na wannchi wa wazee wa kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni

-Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya kiislamu wa Kijiji cha Mkanyageni na vitongoji vyake,wakifutari pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni, na zaidi ya wananchi.

Picha na Ramadhan Othman, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.