Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Baraza la Idd el Fitri huko katika Ukumbi wa Salama hall Bwawani mjini zanzibar,wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akisoma hutuba yake katika mkutano huo wa baraza la Idd
Wananchi mbali mbali wa Mji wa Zanzibar na Vitongoji vyake wakimsikiliza, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akisoma hutuba yake wakati baraza la Idd katika kusheherekea sikuu ya Iddi el Fitri huko ukumbi wa Salama hall
Bwawani Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubia wananchi na waislamu katika baraza la Iddi el Fitri lililofanyika huko ukumbi wa Salama hall Bwawani Hotel mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein, (watatu kulia) akijumuika na Viongozi wengine katika sala ya Idd el Fitri ilyosaliwaa katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar,Sheikh Khamis Haji,Naibu Kadhi mkuu wa Zanzibar akiongoza sala hiyo
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment