RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akipokea Gwaride heshima kutoka katika Kikosi cha FFU kilichoandaliwa kwa ajili ya baraza la Idd El Fitri.
ASKARI wa Kikosi cha FFU wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, gwaride hilo limeandaliwa kwa ajili ya Baraza la Idd El Fitri.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Maalim, Seif Shariff Hamadi, Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Idd, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume, Naibu Mufti wa Zanzibar Shekh. Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh Khamis Haji Khamis wakiwa katika viwanja vya Baraza la Idd Bwawani.
RAIS wa Zanzibar akisalimiana na Ustaadh wa Masrasatul Kadiria na katikati ni Naibu Kadhi wa Zanzibar, Khamis Haji Khamis.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume wakibadilishana mawazo wakiwa katika viwanja vya hoteli ya Bwawani baada ya Rais kuhutubia baraza la Idd.
WANAFUNZI wa Madrasatal Kadiria wakisoma Kasida katika viwanja vya hoteli ya Bwawani wakati wa Baraza la Idd El Fitri.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akibadilishana mawazo kulia Fatma Ferej, Zahra Ali Hamad, Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume.
WANANCHI wakijipatia msosi maalum ulioandaliwa katika Baraza la IddEl Fitri.
MKE wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa katika viwanja vya hoteli ya Bwawani.
WANANCHI walioghudhuria baraza la Idd EL Fitri wakipata msosi katika viwanja vya hoteli ya bwawani baada ya kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
No comments:
Post a Comment