Mama akibeba mzigo wa makarara na makozi akielekea nyumbani kuandaa futari katika mwezi mtukufu kama alivyokutwa na mpiga picha wetu
Mfanyakazi wa Baraza la Manispaa mjini Unguja akiwajibika katika kutunza mazingira ya mji baada ya kusafisha na kubeba taka kwenye wheel barrow kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.
No comments:
Post a Comment