Viongozi waadamizi wa kitengo cha Madawa ya kulevya wakisikiliza kwa utulivu maelezo yaliyotolewa na waratibu pamoja na waathirika wa madawa ya kulevya katika ziara yao kujifunza jinsi ya kupunguza matumizi ya madawa Zanzibar
Waratibu wa Sober House Tomondo Suleiman Mauly na Abdulrahman Abdulla (Mani) wakitoa maelezo mbele ya Maofisa waandamizi wa madawa ya kulevya
Mmoja katika vijana waliopo Sober akielezea uamuzi wake wa kujiunga na Sober House kuachana na madawa na jinsi anavyoendelea kupata ushauri nasaha, dawa pamoja na maelezo
Vijana wa Sober house tawi la Tomondo wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa waandamizi wa madawa ya kulevya.
No comments:
Post a Comment