Habari za Punde

TANGAZO LA ZANTEL KWA WANAOTAKA KUCHANGIA, KUTOA NA KUPATA TAARIFA

Kwa kutoa taarifa za maiti zilizopatikana, kupata taarifa za abiria waliopotea katika ajali ya meli Spice Islanders piga kwa wahusika namba ya bure 0775112112.

Changia Mfuko wa Zanzibar kwa kutuma neno ZNZ kwenda 15580. Utatozwa kiasi cha Tsh 200 kwa kila SMS. Tuma SMS nyingi kwa kuchangia zaidi.

Download the latest BlackBerry® applications from Zantel on www.zantel.com/zantelapps.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.