Mtoto Mwisi Juma pamoja na Ahmed wakisoma utenzi wenye maudhui ya kukataza unyanyasaji wa kijinsia katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha ripoti ya Ukatili dhidi ya Watoto Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi akizindua kitabu cha Ripoti ya ukatili dhidi ya Watoto Zanzibar, huko katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Zanzibar.
Makamo wapili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akionyesha kitabu cha ripoti ya Ukatili dhidi ya Watoto wa Zanzibar,katika ukumbi wa Salama Holl Bwawani Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa UNICEF Bi Dorothy Rozga katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Ripoti ya ukatili dhidi ya Watoto wa Zanzibar,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Bwawani hukoZanzibar.
No comments:
Post a Comment