Habari za Punde

WAZIRI WASSIRA ATOA MCHANGO KWA WAATHRIKA WA MV SPICE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu wa Serikali ya mauungano yeye na familia yake Mhe, Steven Wassira akitoa mchango wake kwa Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi kusaidia waathirika wa ajali ya meli ya Mv Spice.

Picha na OMKR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.