Habari za Punde

WASHIRIKI TAMASHA LA 100% MZANZIBARI MAZOEZINI

Afisa Mdhamini wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo (Ali Nassor) akipokea utambulisho wa Tamasha la 100% Zanzibari kutoka kwa Mkurugenzi wa Sanaa (Swahili Center) Mahsin Basalama
Mpiga Zumari wa kundi la Msewe akiwa Kambini katika mazoezi

Kundi la Msewe likiwa kambini katika mazoezi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.