Habari za Punde

DK BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA SUDAN, JAPAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohamed Ali, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Novemba 16, 2011.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo na kujitambulisha leo Novemba 16, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.