Habari za Punde

USAMBAZAJI WA MAGAZETI NDANI YA ZENJ.

Wauza magazeti katika mitaa ya Zanzibar wakigaiwa magazeti na Wakala wa Usambazaji magazeti baada ya kuyapokea bandari Zanzibar na kuyasambaza kwa wauzaji, wakiwa nje ya Bandari ya Forodhani. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.