Kocha wa timu wa KMKM, Ali Bush, akitowa maelezo kwa wachezaji wake.
Kocha wa timu ya Mundu akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko.timu hiyo imeshindwa kutamba mbele ya kikosi cha KMKM. imefungwa. 2-0
Mshambuliaji wa timu ya Mundu Kimti akiwapita mabeki wa timu ya KmKm, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Seagull uliofanyika uwanja wa Mao timu ya KMKM imeshinda. 2-0
Mchezajhi wa timu ya KmKm (kushoto) na Mundu (kulia) wakiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Seagull Zanzibar.
Wandishi wa Habari za Michezo Zanzibar wakifuatilia mchezo wa ligi Kuu ya Seagull, uliofanyika uwanja wa Mao.timu ya KMKM imeshinda kwa 2-0.
Beki wa timu ya KMKM akiwapita wachezaji wa timu ya Mundu katika mchezo wa ligi Kuu ya Seagull Zanzibar, mchezo uliofanyika uwanja wa Mao timu ya KMKM imeshinda kwa 2-0.
No comments:
Post a Comment