Habari za Punde

BADO TUNAGOMBANIA DALADALA



Wananchi wakigombea daladala ya njia ya Mshelishelini, katika kituo kikuu cha Darajani jana, njia hiyo ina gari chache na kulazimiwa wananchi wa eneo hilo kuwa na usafiri wa shida na wa kugombea wakati wa asubuhi na kurudi kazini Mchana.(Picha na Ali Othman )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.