Habari za Punde

DK SHEIN AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA USALAMA BARABARANI YA OMAN


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Dk Wahid Ali Al-Kharusi,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Usalama Barabarani ya Oman, Alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Picha na Ramadhan Othman IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.