1INTERNATIONAL SYMPOSIUM ON IMPACTS,VULNERABILITY AND ADAPTATION TO CLIMATE CHANGE IN SMALL ISLAND DEVELOPING STATES; IMPLICATIONS TO POVERTY REDUCTION.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu mabadiliko ya Tabia nchi,katika ukumbi wa Zanzibar Ocean View Hotel jana,(kulia) Mwakilishi wa Idara maalum inayoshuhulikia misaada kutoka Uingereza,DFID Angus Millers,na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ramadhan Abdalla Shaaban,(kushoto)Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Ferej, Mkuu wa Mkuwa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,kongamano hilo limetayarishwa na SUZA.
Mwakilishi wa Idara maalum inayoshuhulikia misaada kutoka Uingereza,DFID Angus Millers, akitowa salamu za Idara yake katika Ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.
No comments:
Post a Comment