Habari za Punde

DK SHEIN ATEMBELEA VITUO VYA HABARI VYA TVZ NA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Shirika la habari na utangazji TVZ jana alipokuwa na ziara ya kutembelea kituo cha Karume House.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka Mkuu wa chumba cha Kompyuta Rabia Bakari, wakati alipotembelea Ofisi za gazeti la Zanzibar leo,Rahaleo Mjini Zanzibar,(kutoka kushoto ) Mhariri Mkuu wa Gazeti Abdalla Mohamed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati) akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi mkuu wa Shirika la Utangazaji Hassan Mitawi, alipofanya ziara kutembelea kituo cha TVZ hapo Karume House Zanzibar.

Picha na Ramadhan Othman IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.