Habari za Punde

MAALIM SEIF AKUTANA NA MWENYEKITI MSTAAFU WA CUF


Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Mwenyekiti mstaafu wa Chama hicho Bwana Msobi Magene alipokwenda kumtembelea na kumjuilia hali nyumbani kwake Mwanza hivi karibuni.

Picha na Salmin Said-OMKR.

1 comment:

  1. Kwakweli, migogoro wakati mwengine inasaidia, si unaona, maalim anafanya ziara kila pembe ya nchi pamoja na kuwatembelea baadhi ya viongozi na wanachama wakongwe wa CUF.

    Sasa kama wanayolalamikia wenzake ameyaona na kuyafanyia kazi, huo ndio uungwana, ugomvi tena uko wapi?..Akimaliza musobi amtembelee na yule mzee wa ndijani..khalass!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.