Mandhari ya Kisiwa cha Chumbe, ni moja ya kivutio cha wageni mbalimbali wanaotembelea Zanzibar hupiga picha wakiwa katika Boti weakitokea Dar-es- Salaam, kuwa ni moja ya kumbukumbu zao wanapokuwa kwao.
Mandhari ya Ufukwe wa ATC shangani.
Mdau ule ufukwe unaoukumbuka wewe wakati Foromchanga, ulipokuwa ukifipka kupiga kachu, kwa sasa umebadilika kama unavyoonekana hapa ukiwa umepambwa na miti ya kuvuli.
Masikini mji mkongwae!..yaani kungekua kuna mkakati wa makusudi wa kuutunza, mbona tungekua mbali! wallahi, pamoja na usimamizi mbovu bado unavutia!
ReplyDelete