Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Wanaume kilichopambana na Uganda, wakiwa katika picha ya pamoja.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda Wanaume kilichopambana na Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja.
Mchezaji wa timu ya Uganda Frank Kaboggoza, akiruka juu kudaka mpira, huku walinzi wa Tanzania wakiwa tayari kumzuiya.
Muamuzi wa mchezo kati ya Tanzania na Uganda Kitaula akitowa adhabu golini kwa Tanzania, baada ya mchezani wa Tanzania kufanyiwa faulu.
Mchezaji wa timu ya Wanaume ya Tanzani Yussuf Uwesu(GD) akiokowa mpira golini kwake katika michuwano ya Mapinduzi Cup Netiboli iliofanyika Uwanja wa Gymkhana, timu ya Tanzania Wanaume imeshinda 41-35.
Mchezaji wa timu ya Uganda netiboli Wanaume Frank Kaboggoza, akijiandaa kufunga galini kwa timu ya Tanzania Wanaume, katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Gymkhana timu ya Tanzania Wanaume imeshinda 41-35.
Wachezaji wa timu za Tanzania na Uganda wakigombea mpira Frank Kaboggoza (GS) na Ramadhani Amour (GK)Tanzania
No comments:
Post a Comment