Mdau unakumbuka zile enzi za maji haya yalivyokuwa? nsa kujaza watoto wengi katika maeneo haya kwa kutazama maji ya ragi yalivyokuwa yakipendeza kwa rangi mbalimbali na kupamba Magorofa ya michezani na round abuot hiyo.
SERA ZA WAHISANI HAZINA ATHARI ZA MOJA KWA MOJA ZA KIBAJETI
-
Na. Peter Haule, WF, Dodoma
SERIKALI imesema kuwa hakuna athari za moja kwa moja za kibajeti kutokana
na amri za kimamlaka alizotoa Rais wa Marekani, Dorn...
25 minutes ago
je majumbani yanatoka kaka ?
ReplyDeleteHa ha ha Na hilo nalo neno.
ReplyDeleteHaya yakishajaa huwa yanahifadhiwa. Lakini ya majumbani yakishatumiwa hupotea kaka. Tutafika lakini..